Ruto: Serikali imejitolea kuimarisha sekta ya kilimo nchini

  • | KBC Video
    83 views

    Rais William Ruto amesema maeneo yote nchini yatafurahia mgao sawa wa rasilimali za kitaifa katika ajenda ya maendeleo ya serikali. Akihudhuria ibada ya madhehebu mbalimbali huko Kimilili kuhitimisha ziara yake ya siku nne katika kaunti ya Bungoma, Rais pia alitoa wito wa umoja wa kitaifa akisema vitendo vya kuligawanya taifa hili kwa misingi ya kikabila, vinairudisha nchi hii nyuma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive