Ruto : Sitayumbishwa kwa azma ya kutekeleza miradi ambayo itaboresha taifa

  • | KBC Video
    20 views

    Rais William Ruto amedumisha kwamba serikali haitayumba katika azma yake ya kutekeleza miradi ambayo itaboresha taifa hili. Rais anasema shutma hazitamzuia kutekeleza mipango inayonuiwa kuboresha maisha ya wakenya. Alisema hayo katika Kanisa la Kianglikana la Emmanuel, huko Bahati, Kaunti ya Nairobi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive