Ruto: Sitishiki kamwe!

  • | Citizen TV
    2,823 views

    Rais William Ruto amesema kwamba matamshi ya mara kwa mara ya wapinzani wake kumkosoa yeye na Serikali yake hayatomtikisa kamwe akisisitiza kwamba hatotishwa na watu wanaompinga na wanaosema atatawala tu kwa Muhula Mmoja. Rais ambaye alikuwa akizungumza huko Meru anasema kwamba viongozi wa Upinzani hawana Ajenda yoyote ila kufanya kampeni ya kumuondoa uongozini.