Ruto: yalikuwa maandamano ya kuhujumu uchumi

  • | Citizen TV
    5,807 views

    Rais William Ruto ametaja maandamano yaliyofanyika siku ya Jumatano kuwa vurugu zilizopangwa kimakusudi na pia ya kuhujumu uchumi.