- 648 viewsDuration: 2:59Katika hatua ya kurahisisha usafirishaji wa dawa au hata damu kwa wagonjwa wenye mahitaji ya dharura na walio mbali, taifa la Rwanda limeanza utumizi wa usafirishaji wa ndege zisizo rubani pamoja na akili unde kusafirisha vifaa hivi sehemu za mbali. Mbali na vifaa vya matibabu, vindege hivi vya droni pia husafirisha mbegu sehemu za mbali nchini humo.