RWANDA YAADHIMISHA MIAKA 27 YA MAUAJI YA KIMBARI

  • | VOA Swahili
    Rais wa Rwanda Paul Kagame ameadhimisha kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 dhidi ya watutsi na baadhi ya wahutu hivi leo Jumatano kwa kuwasha taa ya kumbukumbu kwa ajili ya kuwakumbuka waliopoteza maisha wakati wa maadhimisho yaliyofanyika huko Gisozi.#DL #VOA