Rwanda yatuhumiwa kukiuka haki za binaadamu

  • | VOA Swahili
    440 views
    - - - - - #VOASwahili Serikali ya Rwanda inajaribu kuwanyamazisha wakosoaji na wapinzani wanaoishi ughaibuni kupitia mauaji ya kiholela, utekaji nyara na vitisho, haya ni kwa mujibu wa ripoti ya Human Rights Watch.