Sababu ya Jamii ya Bukusu kutaka kufidiwa na Uingereza kutokana na Manyanyaso ya Ukoloni

  • | West TV
    292 views
    Huku jamii mbalimbali kama vile kikuyu, kalenjin na hata kisii zikiendelea kuitaka serikali ya uingereza kuwafidia kwa dhuluma na mauaji waliyopitia mikkononi mwa wakoloni, sasa jamii ya bukusu pia imehimizwa kujitokeza kudai fidia kutokana na mauaji ya watu wake kwenye karne ya 19 na 20.