Skip to main content
Skip to main content

Sabaot, Abukusu na Iteso waungana kwa amani Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    1,390 views
    Duration: 3:04
    Baada ya takribani karne moja ya mgawanyiko na migogoro, mamia ya wanajamii wa Sabaot kutoka Kenya na nchi jirani ya Uganda walijumuika na wenzao wa jamii za abukusu na iteso katika eneo la Marambachi, kaunti ya Trans Nzoia, kwa matambiko ya utakaso na kuondoa kisirani. Wanajamii hao walichinja ng’ombe na mbuzi, kunywa na kujumuika pamoja kwa nyimbo za kitamaduni, katika jitihada za kufungua ukurasa mpya wa umoja na amani.