Sacco zatakiwa kuchukua bima ya uharibifu wa mali

  • | Citizen TV
    292 views

    Sheria Mpya Ya Kudhibiti Vyama Vya Ushirika Inatazamiwa Kuanza Kutekelezwa Mwishoni Mwa Mwaka Huu. Kamishna Wa Vyama Vya Ushirika David Obonyo Amesema Kuwa Sheria Hiyo Inainua Kukabiliana Na Ulaghai Katika Vyama Vya Ushirika Kwa Kutumia Teknolojia.