Safari za ndege za moja kwa moja kati ya Nairobi na Luanda Angola kuanzishwa tena

  • | K24 Video
    46 views

    Safari za ndege za moja kwa moja kati ya Nairobi na Luanda Angola kuanzishwa tena. Hayo yamesemwa leo katika ikulu ya Nairobi ambako Rais Joao Lourenco wa angola alikutana na mwenyeji wake rais William Ruto. Rais kama alivyofanyia mataifa mengine Afrika, ameondoa takwa la visa kwa raia wa Angola wanaozuru Kenya katika juhudi za kuimarisha uhusian