Safaricom yaendeleza maadhimisho ya miaka 18 ya M-PESA kwa zawadi na hamasa sokoni

  • | Citizen TV
    200 views

    Kwa siku ya pili, kampuni ya Safaricom imeendelea kusambaza ujumbe wa MPESA Sokoni katika maadhimisho ya miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Kwa ushirikiano na kampuni ya Royal Media Services, wateja wa MPESA wamepata zawadi kemkem huku kampuni ya safaricom ikitoa hamasa kuhusu huduma za pesa kwa wahudumu wa teksi za mitandaoni