Sajenti Nyawira alikuwa miongoni mwa wanajeshi waliofariki Sindar

  • | Citizen TV
    3,843 views

    Sajenti Rose Nyawira, aliyefariki kwenye ajali ya ndege iliyomuua pamoja na wenzake 9 akiwemo mkuu wa majeshi Jenerali Francis Ogolla amezikwa leo nyumbani kwao Kutus kaunti ya Kirinyaga.