Sajili ya kielektroniki ya kunakili habari kuhusu watuhumiwa wa dhuluma za kijinsia yazinduliwa

  • | KBC Video
    12 views

    Idara ya mahakama imezindua sajili ya kielektriniki kunakili maelezo ya waliohukumiwa kwa tuhuma za ubakaji humu nchini kuambatana na sheria ya mwaka 2006 kuhusu dhuluma za kimapenzi. Jaji mkuu Martha Koome amesema sajili hiyo itahifadhi habari muhimu kuhusu watuhumiwa wa dhuluma za kimapenzi ambazo zinaweza kutumiwa na maafisa husika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #sgbv #darubini