- 495 viewsDuration: 3:23Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ameendelea kutetea mkataba wa kutoa baadhi ya majukumu ya kaunti kwa serikali kuu alipofika mbele ya kamati ya seneti kuhusu ugatuzi. Sakaja ameiambia kamati hiyo kuwa mkataba huo umefuata taratibu zote za sheria na bado anasimamia Nairobi kama gavana. Maseneta hata hivyo wanamtaka sakaja awe mwangalifu katika utekelezaji wa mkataba huo