Skip to main content
Skip to main content

Sakaja atoa onyo na kuagiza ubomoaji wa ujenzi haramu Kilimani na Lavington kwenye ardhi ya mito

  • | Citizen TV
    1,612 views
    Duration: 2:35
    Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja sasa anasema serikali ya kaunti itawaandamana maafisa walioidhinisha ujenzi wa majumba kwenye ardhi ya mpito wa mito. Gavana Sakaja akionya kuwa watakaopatikana na hatia watashtakiwa. Onyo hili linajiri huku serikali ya kaunti ikielekeza ubomoaji wa ardhi hizi katika maeneo ya Lavington na Kilimani.