Sakata ya KEMSA: Ukiukaji wa kanuni za utoaji zabuni umeonekana kuwa jambo la kawaida

  • | KBC Video
    Ukiukaji wa kanuni za utoaji zabuni umeonekana kuwa jambo la kawaida katika shirika la taifa la uambazaji dawa KEMSA kwenye kashfa ya mamilioni ya pesa ya covid-19. Kwenye matukio mapya katika uchunguzi unaoendeshwa na kamati ya bunge kuhusu pesa za uma, kampuni moja iliyokuwa na stakabadhi zilizosheheni dosari ilikabidhiwa zabuni ya shilingi milioni 180 siku iliyowasilisha maombi ya zabuni katika shirika la KEMSA. Kampuni ingine isiyohusika na bidhaa za matibabu ilikabidhiwa zabuni ya shilingi milioni 42 kusambaza vifaatiba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive