Salasya aagizwa kufika mbele ya tume ya maadili na vita dhidi ya ufisadi EACC

  • | KBC Video
    21 views

    Mbunge wa Mumias Mashariki Peter Salasya amejipata kwenye mkono mbaya wa sheria baada ya kuagizwa kufika mbele ya tume ya maadili na vita dhidi ya ufisad-EACC. Salasya anamulikwa na tume ya EACC kwa madai ya kukiuka sura ya sita ya katiba kwa kumshambulia hadharani mwakilishi wadi ya Malaha-Isongo-Makunga Peter Walunya Indimuli wakati wa ibada ya mazishi katika eneo la Mumias Mashariki kaunti ya Kakamega.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News