Samuel Githinji na Lydia Akinyi ni washindi wa punde wa Jipange na Viusasa

  • | Citizen TV
    250 views

    Samuel Githinji na Lydia Akinyi ndio washindi wa punde zaidi wa shindano la Jipange na Viusasa. Githinji ambaye ni mkazi wa eldoret alipokezwa hundi yake ya shilingi 50,000 huku Akinyi akiwa mshindi wa pili wa shilingi milioni moja. Mshindi wa kwanza wa milioni moja Joseph Muhia pia alituzwa.