Samuel katuie, Mary Mwaniki washinda mbio za Graceland

  • | Citizen TV
    Samuel katuie na Mary Mwaniki waliibuka washindi katika mbio za kila mwaka za Graceland Upcountry run katika kaunti ya Nyeri, ambazo kwa miaka 9 sasa, zimekuwa zikichangisha pesa za kuwaelimisha wasichana wasiojoweza.Mbio hizi hufadhiliwa na kampuni mbali mbali ikiwemo Royal media services