Samuel Kinyanjui aishi na risasi mwilini baada ya kupigwa risasi katika maandamano 2024

  • | NTV Video
    785 views

    Baada ya miezi kumi na minne ya maumivu na mateso, hatimaye matumaini yameanza kuonekana kwa Kinyajui ambaye alipigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya kizazi cha Gen Z mwaka wa 2024.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya