Samuel Muriithi anatafuta kwa uvamizi vijijini nyeri

  • | Citizen TV
    708 views

    Polisi mjini Nyeri wanamtafuta kijana mmoja wa miaka 27 anayeshukiwa kuwavamia na kuwajeruhi watu wanne kwa panga kijijini Ithenguri na kisha kutoweka.