Sanaa ya kidigitali kuwa fursa ya ajira kwa vijana Tanzania | VOA Swahili

  • | VOA Swahili
    28 views
    Matumizi ya teknolojia ya 3d katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo za Sanaa na viwanda unaelezwa kuwa fursa inayoweza kuchangamkiwa na vijana kutokana na kuongezeka kwa matumizi ya teknolojia hizo katika uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo za Sanaa na viwandani. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.