Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel

  • | BBC Swahili
    22,034 views
    Eliud Samwel Mwakasege @eliudsamwel ni msanii mahiri wa vichekesho aliyejpatia umaarufu ndani na nje ya Tanzania kupitia sanaa ya uchekeshaji majukwaani na katika mitandao ya kijamii. Mwandishi wa BBC @mcdavid_nkya_ amefanya mazungumzo na @eliudsamwel ambaye pia ameelezea kuhusu simulizi za Farida (Aunty Ramota) ambazo zimempa umaarufu mtandaoni #bbcswahili #tanzania #sanaa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw