Sarafu ya Kenya yaimarika huku Wakenya walalamika kuhusu ongezeko la gharama ya maisha.

  • | VOA Swahili
    83 views
    Mamilioni ya Wakenya wanaendelea kulalamikia ongezeko la gharama ya maisha, hali ambayo inaelezwa, kama inayosababishwa, kwa kiasi kikubwa, na juhudi za serikali ya nchi hiyo, za kudhibiti deni la umma, linalozidi kuongezeka. Haya yanajiri wakati ambapo thamani ya sarafu ya Kenya, imeimarika kwa mara ya kwanza, ndani ya kipindi cha miezi kadhaa. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.