Sarah Chan: ‘Nimekuwa nikitemewa mate usoni kwasababu ya rangi yangu ya ngozi ’

  • | BBC Swahili
    456 views
    Sarah Chan ameshinda ubaguzi wa rangi na unyanyasaji hadi kuwa mwanamke wa kwanza Mwafrika kuongoza timu ya kutathmini vipaji ya Ligi ya mpira wa kikapu ya Marekani NBA, ikiwa ni ligi ya kwanza duniani ya wachezaji wa mpira wa kikapu wenye taaluma hiyo. #bbc100women #bbcswahili #wanawake