Sarah Kosgey: Aliyoza akiwa na miaka 12, sasa ametuzwa kwa mchango mkubwa kwa jamii

  • | NTV Video
    140 views

    Aliozwa akiwa na umri wa miaka 12 sababu ya umaskini katika familia yao na kukatiza kisomo lakini ndoa hiyo ilisambaratika akalazimika kufanya kazi za kijungu jiko. Sasa, Sarah Kosgey ana umri wa miaka 63 akiwa ametuzwa na  marais wa awali wa Kenya Mwai Kibaki na Uhuru Kenyatta sababu ya mchango mkubwa kwa jamii na uwezeshaji wa mtoto wa kike.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya