Mary Amankwah Fordwor, kutoka nchini Ghana, aligundulika kuwa na saratani ya koo mwaka 2021, ambapo alifanyiwa upasuaji mara 14 na kusababisha kuondolewa kwa koromeo.
Sasa anatumia kifaa bandia cha sauti na hawezi kula tena kama ilivyokuwa hapo awali.
Je saratani hii husababishwa na nini? Mary amesimulia kwa kina pamoja na changamoto alizopitia ikiwemo kuvunjika kwa ndoa yake. Tazama!
#bbcswahili #ghana #saratani
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
23 Mar 2025
- President William Ruto's tray of disregarded promises continues to weigh heavy after he onboarded more advisors to his administration amid austerity measures.
23 Mar 2025
- Njuri Ncheke, the Council of Elders for the Meru has welcomed the nomination of lawyer Linda Kiome as the new Deputy Governor for Meru County.
23 Mar 2025
- Most of the regions affected by the disease are in Eldas and Wajir West where the Wajir County Government has started fumigation targeting over 10,000 households.