Sauti ya Amerika iliwasiliana na wataalamu kadha kuhusu Mashariki ya Kati.

  • | VOA Swahili
    213 views
    Sauti ya Amerika iliwasiliana na wataalamu kadhaa wa Mashariki ya Kati kujibu maswali kuhusu mzozo wa Israel na Palestina. Huu ni mfululizo wa video ya kwanza na Ned Lazarus, Profesa wa masuala ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha George Washington.