Sauti ya Mickey Mouse ilianzishwa na nani?-

  • | BBC Swahili
    688 views
    Ni watu wanne tu ambao wameingiza sauti rasmi ya katuni ya Mickey Mouse tangu ilivyoanza miaka 100 iliyopita. Watu wengi hawatambui kuwa mtu wa kwanza alikuwa Walt Disney mwenyewe, kuanzia 1929-1946. Anayeingiza sauti ya sasa ya Mickey anaelezea jinsi Walt Disney alivyomuhamasisha. #bbcswahili #mickeymouse #vibonzo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw