Sauti ya paka

  • | KBC Video
    1 views

    Hivi maajuzi dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Utelekezaji wa Wanyama wa Kufugwa,bado kuna ushadidi unaoashiria idadi kubwa ya paka wanaorandaranda mitaani nchini Kenya,kutokana na kutelekezwa na wamiliki na pia paka yatima Suala hilo pia limechangiwa na ukosefu wa mipango ya gharama nafuu ya kuzuiya ujauzito miongoni mwa wanyama hao ili kidhibiti idadi yao inazidi kuongezeka kila uchao Sheillah Yogo alisafiri hadi Tigoni kukutana na Rachael Kibue, mpenzi wa paka ambaye anaandaa hifadhi kwenye ardhi ya ekari tano .Tazama

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News