Sehemu ya pili ya mahojiano na Sauti ya Amerika na Ned Lazarus

  • | VOA Swahili
    134 views
    Sehemu ya pili ya mahojiano na Sauti ya Amerika na Ned Lazarus, Profesa wa masuala ya kimataifa katika Chuo Kikuu cha George Washington, Kuhusu suala la Mashariki ya Kati kujibu maswali kuhusu mzozo wa Israel na Palestina.