Sekta ya afya chini ya utawala wa Rais Ruto

  • | K24 Video
    16 views

    Tangu rais William Ruto achukue hatamu, wakenya wengi zaidi wanasaka huduma za afya katika hospitali binafsi kuliko hospitali za umma, ikilinganishwa na hali ilivyokuwa katika kipindi cha mwaka mmoja kilichotangulia utawala wake. Taswira hiyo imehusishwa na uhaba wa madaktari katika hospitali za umma, ambao wataalamu wa afya wanasema, huenda ukazuia ufanikishwaji wa mpango wa afya kwa wote, UHC