Sekta ya elimu yapigwa jeki na wahisani Trans Nzoia

  • | Citizen TV
    249 views

    Wizara ya Elimu nchini imetakiwa kuimarisha utamaduni wa wanafunzi kusoma vitabu kwa kuwekeza katika miundombinu ya maktaba kwa shule zote za umma