Skip to main content
Skip to main content

Sekta ya kilimo kushirikiana na vyuo vya kiufundi nchini

  • | Citizen TV
    238 views
    Duration: 1:38
    Sekta ya kilimo inajiandaa kwa mageuzi makubwa baada ya wadau wa viwanda kuafikiana kushirikiana na vyuo vya ufundi na mafunzo ya kiufundi, TVET. Katika kikao cha juu kilichofanyika Meru, wadau walikubaliana kutumia mfumo wa Dual TVET ili kuwapa vijana ujuzi wa vitendo na kuondoa pengo la ajira kwenye sekta hii muhimu kwa uchumi.