Sekta ya kilimo na mifugo imetengewa shilingi billioni 65.2

  • | Citizen TV
    278 views

    Tukisalia hapo kwenye makadirio ya bajeti, Idara ya barbara na uchukuzi ni sekta ambazo zitagharimu serikali fedha zaidi. shilingi bilioni 310 ambazo ni asilimia 8.6% ya bajeti ya mwaka wa 2023/2024 zimetengewa sekta hiyo. Sehemu ya mgawo huo imepangiwa kufufua miradi ambayo ilianzishwa chini ya serikali iliyopita na kukwama. Tuangazie akadirio ya bajeti hii ambapo pia sekta ya kilimo imetengewa shilingi bilioni 65.2.