29 Oct 2025 1:50 pm | Citizen TV 245 views Duration: 1:57 Sekta ya utalii mjini Malindi kaunti ya Kilifi inatarajiwa kuimarika zaidi kupitia michezo mbalimbali ambayo imeanzishwa katika eneo hilo hususan msimu huu wa likizo.