Sekta ya vyombo vya habari yaomboleza vifo vya Catherine Kasavuli na Gibson Mbugua

  • | KBC Video
    2,030 views

    Sekta ya vyombo vya habari na ile ya usanii zimepata pigo kubwa katika muda wa wiki moja iliyopita kufuatia vifo vya watu mashuhuri. Katika kipindi cha wiki moja , watu wawili mashuhuri wameaga dunia . Mnamo Alhamisi wiki iliyopita Gibson Gathu, ayefahamika zaidi kama prosecutor kwenye kipindi cha Vioja Mahakami kinachopeperushwa katika runinga ya KBC Channel One aliaga dunia . Wadau wa sekta ya usanii wanaendelea kutoa heshima zao kwa marehemu Gibson Gathu kabla ya mazishi yake Jumanne katika kijiji cha Matundura huko Kinangop kaskazini , kaunti ya Nyandarua . Tunaomboleza na familia zote mbili .

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #catherinekasavuli #gibsonmbugua