Senegal yashuhudia vifo zaidi vya vijana wanaojaribu kuvuka bahari kuelekea Ulaya

  • | VOA Swahili
    491 views
    Matukio mbalimbali ya maafa na vifo kwa vijana wanaoendelea kupitia Senegal kuelekea Ulaya licha ya kuwa ni safari zenye hatari kubwa. Mzazi aeleza yaliyomkuta mtoto wake aliyekuwa akijaribu kwenda Ulaya. - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.