Seneta Dianne Feinstein wa Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.

  • | VOA Swahili
    900 views
    - - - - - Seneta wa muda mrefu wa chama cha Democratic jimbo la California, Dianne Feinstein amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 90.