Seneta Edwin Sifuna ataka shule za kibinafsi zijumuishwe

  • | Citizen TV
    1,202 views

    Seneta wa Nairobi ameitaka serikali ya kaunti kujumuisha wanafunzi wa shule za kibinafsi katika programu ya lishe shuleni inayofadhiliwa na kaunti hio. Akiongea katika kaunti ya Nairobi Jumanne, Edwin Sifuna amesema kuwa hakuna uhalali ya kubagua wanafunzi hao kwa vile shule za umma haziwezi kupokea wanafunzi wote nchini hali hii ikisababisha wazazi kuwapeleka watoto wao shule za kibinafsi.