Seneta Faki : Naunga mkono hoja ya kumteua Japhet Koome kama inspekta mkuu wa polisi

  • | KBC Video
    17 views

    Seneta Faki : Naunga mkono hoja ya kumteua Japhet Koome kama inspekta mkuu wa polisi. Kutokana na ujuzi wake wa miaka mingi aliyofanya kazi kama polisi unampa uzoefu wa kufanya hii kazi bila matatizo.

    #Parliament

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #senate #parliament