Skip to main content
Skip to main content

Seneta Khalwale awapa siku saba wahusika wa uchimbaji haramu wa dhahabu katika Mto Yala kuondoka

  • | NTV Video
    1,396 views
    Duration: 1:47
    Siku mbili tu baada ya uchunguzi wa NTV kufichua madai ya uchimbaji haramu wa dhahabu Mto Yala, uchimbaji unaodaiwa kufanywa na raia wa China, Seneta wa Kakamega Bonny Khalwale amewapa siku saba wahusika hao kuondoka eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya