Seneta maalum Raphael Chimera awasilisha mswada wa kutaka kuhalalalishwa kwa pombe asili

  • | Citizen TV
    282 views

    Seneta maalum Raphael Chimera amewasilisha mswada wa kutaka kulalalishwa kwa pombe asili kama vile muratina, busaa na mnazi. Chimera ataka sheria ya kudhibiti vileo kufanyiwa marekebisho ili kuondoa pombe hizo kwenye orodha ya vileo vilivyoharamishwa akisema kuwa vinatumiwa kwenye sherehe za kitamaduni na ni sehemu ya desturi za jamii mbalimbali nchini