Seneta Menendez akabiliwa na msururu wa mashtaka ya ulaji rushwa, yahusisha kuinufaisha Misri

  • | VOA Swahili
    403 views
    Seneta wa Chama cha Demokratik katika jimbo la New Jersey Bob Menendez anakabiliwa na msururu wa mashtaka ya serikali kuu kuhusiana na ulaji rushwa. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ripoti kuhusu kashfa #hiyo inayohusisha kuinufaisha serikali Misri na kuwanufaisha washirika wake na kusaidia kutatua mashtaka mahakamani yanayo wakabili washirika wa mke wake. Endelea kusikiliza... #seneta #chama #demokratik #jimbo #newjersey #bobmenendez #voaswahili #dunianileo #misri #washirika #rushwa - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.