Seneta Okiya Omtata aelekea mahakamani kushitaki kaunti ya Busia

  • | West TV
    166 views
    Seneta wa kaunti ya Busia Okiya Omtatah ameishtaki serikali ya kaunti ya Busia akidai kuwepo ubadhirifu wa shilingi billioni mbili nukta tatu na kunyimwa habari muhimu za malipo yaliyofanywa na serikali ya kaunti hiyo