Seneta Okiya Omtata awasilisha kesi mahakamani

  • | Citizen TV
    548 views

    Seneta wa Busia Okiya Omtata sasa anaitaka mahakama kusitisha zoezi la kutoa maoni kuhusu mswada wa fedha wa mwaka wa 2024. Kwenye kesi hiyo, Omtata anasema kuwa zoezi hilo linakiuka msururu wa sheria ambapo alisema sharti makadirio ya bajeti ya mwaka ujao yaidhinishwe kabla ya mswada wa fedha kuwasilishwa bungeni.