Seneta Omtatah aomba mahakama kuu kuitupilia mbali sheria ya fedh

  • | K24 Video
    54 views

    Seneta wa busia Okiya Omtatah ameitaka mahakama kuu kuitupilia mbali sheria ya fedha akidai kuwa ilipaswa kujadiliwa katika bunge la seneti. Akizungumza mbele ya jopo la majaji watatu Walioteuliwa kusikiliza kesi inayopinga sheria hiyo, Omtatah amesema sheria hiyo inagusia haki za kikatiba, swala ambalo linawahusu wananchi wote.