Seneta Orwoba kusalia nje ya bunge baada ya kuchelewa kuomba msamaha

  • | KBC Video
    245 views

    Seneta mteule Gloria Orwoba atasalia nje ya vikao vya bunge la seneti baada ya kuchelea kusoma barua ya kuomba radhi mbele ya bunge hilo Jumanne alasiri. Seneta Orwoba aliyetarajiwa kurejea bungeni baada ya kukamilisha adhabu yake alisema barua hiyo ilikuwa na maneno ambayo yangetumiwa dhidi yake katika kesi inayoendelea mahakamani.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive