Seneta wa Machakos Agnes Kavindu amtaka Rais Ruto kuingilia kati kuzuia uharibifu unaoendelea Mavoko

  • | NTV Video
    116 views

    Seneta wa Machakos, Agnes Kavindu, amemwomba rais William Ruto kuingilia kati na kuzuia uharibifu unaoendelea wa nyumba katika maeneo ya Mavoko na Athi River, kaunti ya Machakos.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya